Jose Mourinho sasa ndio kocha mpya wa Chelsea kwa mkataba MNONO wa miaka 4, kwa dau la £8.5m kwa mwaka. Mourinho atakuwa kocha ghali kuliko wote katika historia ya EPL.
...THE SPECIAL ONE!!!
Real Madrid bado wanamwinda Gareth Bale kwa dau la £45m.
Mkuu, Habari za Falcao zimeishia wapi?
julio kuinoa benfica ya ureno...kaseja kwenda borrusia kwa mkopo