Baada ya kipa David Ospina (25, Colombia) kutua Arsenal kwa kitita cha £3.2m, beki kinda wa Southampton Calum Chambers (19, England) naye anakaribia kutua Arseal kwa ada ya £16m.
Kipa Ospina atakuwa kipa namba 1 wa Arsenal na kumweka benchi Wojciech Szczesny.
Wakuu bila kuona vidal akitambulishwa bado nitakuwa cna iman
Wakuu bila kuona vidal akitambulishwa bado nitakuwa cna iman