Transfer vacancy request at ESS Utumishi

Ivi kwa mfano
Ivi kwa mfano umeomba uhamisho kwa kutuma barua alafu taasisi husika wakakujibu kuwa nafasi ipo jee unaweza kuendelea na transfer request kwa kuattach ile barua uliyojibiwa kama uthibitisho au mpka uanze mchakato wa kuomba vacancy request alafu wao wakujibu kweny mfumo then uendelee na transfer request?
 
Anza Mchakato Upya Na Uliombaje Uhamisho kwa Barua Wakati UTUMISHI walisitisha matumizi ya Barua April mwaka Jana?
 
Taasisi wakiapprove ukia
Je Taasisi wakiapprove ukianza kuniate transfer mkuu wa idara akiapprove inakuambia your transfer request is accepted you can now submit to authority approval,ukituma submit inakuletea vacancy in destination already filled maana yake nini?
 
mkuu hata hapo huelewi maana yake? Huko unakoenda wamekataa kukupokea means wamekataa ombi lako au nafasi imejaa...
yaani nafasi uliyoomba kwenda huko imeshapata mtu
 
Kwa taratibu hizi unaweza kukaa hata miaka mitano😎
 
Hivi inakuwaje HR kushindwa kukuona mtu uliyerequest OMBI la UHAMISHO..?
Je, Kuna issue inaonekana HR hawajaset vizuri kwenye mfumo ndio inasababisha washindwe kuona muhusika na ku-approval.?
DR Mambo Jambo
Mara nyingi unakuta kuna afisa hajapitisha,mfano ikiandika ipo kwa accounting officer-wengi hufikiria kwamba anapaswa tu kumuona mkurugenzi/aliyekasimishwa majukumu ya utawala kumbe mkuu wa idara anapaswa kupitisha, na mkuu wa HR anapaswa kupitisha(hapa anapitisha taarifa za mshahara) kabla haijafanyiwa kazi na mamlaka ya mwisho kwenye taasisi husika.
 
Habari! Umeongea vema mnoo,, kwasasa mfumo unaruhusu kwa kwenda ikiwa muhusika hajaifanyia kazi,,, swali langu je kwa upande huu wa vacancy request na kwao Kuna time limit ikiwa mkuu wa taasisi hajaifanyia kazi inaenda kwa destination organization?
 
Habari! Umeongea vema mnoo,, kwasasa mfumo unaruhusu kwa kwenda ikiwa muhusika hajaifanyia kazi,,, swali langu je kwa upande huu wa vacancy request na kwao Kuna time limit ikiwa mkuu wa taasisi hajaifanyia kazi inaenda kwa destination organization?
YEAH, kabisa kuna idadi ya siku mfumo unasoma zikipita zile siku mfumo unasogeza maombi kwa hatua inayofuata
 
Unaandika Vacancy transfer request kwenda sehemu unayotaka kuhamia, inakuwaje tena request iende kwa taasisi uliyopo?
 
Unaandika Vacancy transfer request kwenda sehemu unayotaka kuhamia, inakuwaje tena request iende kwa taasisi uliyopo?
Sasa Request inaendaje moja kwa moja bila kupita kwa wasimamizi wako kujua unataka kuenda wapi??
kiutaratibu hta unakoenda hawawezi kupokea ombi ambalo wasimamizi wako hawajui..
utaratibu ni lazima immediate supevisor apitishe mpka afisa masuhuli wako then ndo ombi liende kwa wahusika
 
Vacancy request, ni request ya kuulizia nafasi kama ipo unapotaka kwenda, na siyo request ya kuomba kuhama ili kuhamia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…