Transfer kwenda Private

Transfer kwenda Private

must be

Member
Joined
Oct 6, 2014
Posts
84
Reaction score
28
Naomba kuhuliza kwa sisi tunaofanya Transfer kutoka vyuo vya serekali kwenda Private je mikopo tuliyopata itaongezeka kulingana na gharama za Private
 
Jinsi ya kufanya Transfer unafungua Profile yako zen mwishoni utakuta wameandika Transfer una click zen unachagua chuo na kozi unayotaka kuhamia wakikubali unalipia 30000
 
Sisi wale wa udsm walio tu reject majina yetu yakarudi nacte tumeambiwa tuchague upya goverment kumejaa nafasi zipo private tu
 
Back
Top Bottom