transfer kutoka udsm kwenda ardhi university

joseef

Member
Joined
Jun 12, 2013
Posts
83
Reaction score
10
kuna rafki yang amechaguliwa udsm (bsc in agricultural and natural resource economics and business) anataka akifka chuo ahamie ardhi university land management and valuation..kwa anayejua process za kuhama chuo achangie taratbu za kuhama zimekaaje
 
C asubiria transfer wamesema tcu c muda mrefu wataifungua
 
kuna rafki yang amechaguliwa udsm (bsc in agricultural and natural resource economics and business) anataka akifka chuo ahamie ardhi university land management and valuation..kwa anayejua process za kuhama chuo achangie taratbu za kuhama zimekaaje

Teh teh teh inaelekea mnapapenda ardhi

Lkn mziki wa hapa mjiandae..
 
hesabu anazijua!? alifaulu vizuri kidato cha nne!? kidato cha sita pia alifaulu hesabu!? Ardhi University, ni mahali pa kusoma na vijana wanasoma haswa, ukiwa mvivu hiyo miaka 4 ya degree utaikosa mapema asubuhi.
 
hesabu anajua xana ana distinction 4.0 advanced mathematics B+
geography B+
Economics B+
 
Back
Top Bottom