Training ya Accounting software

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Sep 29, 2012
3,406
0
Habari zenu wakuu,

Tunafanya training kwa wahasibu pia kwa wanafunzi wanaosoma masomo ya kihasibu, sisi tunafundisha jinsi ya kutumia QuickBooks.

Tunafundisha masaa 20, ambapo masaa 20 tunayagawa katika siku tatu, na gharama zetu ni 260 USD kwa mtu mmoja na kuna uwezekano wa kupungua iwapo idadi ya watu itaongezeka.

Bila kusahau pia tunauza QuickBooks ya UK pamoja na ya USA.

Wasiliana nasi kwa kupata utaratibu wa mafunzo yetu au kwa maongezi ya ziada kuhusu QuickBooks,

Email yetu ni: tonyhaule@hotmail.com
 

Donpela

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
2,040
2,000
email yetu au yako mkuu au yake..

maana hiyo siyo ya official mail, ni private
 

EL ELYON

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
1,389
2,000
Mbona wabongo mnakuwa hvi mnashndwa nn kuandka bei by Tshs kila ktu USD achen ubabaishaji.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom