Training Tutorials

Training Tutorials

Wangapi wamewai kutumia wordpress kwa kutengeneza blog/website?

  • Mimi sijawai atakujaribu kutumia wordpress

    Votes: 1 100.0%
  • Mimi nimejaribu ila sijawaikutengeneza kitu kinachoeleka.

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    1
Kwaiyo wadau mnataka wordpress au joomla
 
Habari wanaJF, napenda kuwafamisha kwamba napenda kuwafundisha watu vitu vifuatavyo kupitia youtube video.

1. Namna ya kununua vitu online kupitia kadi(VISA,MASTERCARD) kwa mgongo wa PAYPAL ACCOUNT

2. Namna ya kutengeneza blog/website kwa kutumia wordpress & joomla

3. Namna ya kutangaza biashara yako online kupitia social media kama FACEBOOK, namna ya kupata viewers wengi kwenye blog/website yako.

4. Namna ya kuweka matangazo ya GOOGLE ADSENSE kwenye blog/website yako.

5. Namna ya kujifunza kutengeneza website kwa kutumia HTML5 na BOOTSTRAP FRAMEWORK.

6. Namna ya kutengezena system kwa kutumia PHP & MYSQLpamoja na kipengele namba 5.

Kura ndo zinaamua nianze kutengeneza video ya training gani kati ya hizo hapo juu.


Nawakilisha kama mdau wa jukwaa hili la IT.
Imekaa vizuri
 
Naomba nijue wangapi wamewai kutumia na ambao awajawai kabsa kutumia ili ninapoandaa video nijue nafundisha beginners au intermediate au professional.
 
Refresh video tutorial about bootstrap template. Welcome

 
Back
Top Bottom