Trafiki wa ubungo mataa

Trafiki wa ubungo mataa

Ngoja tu magufuri akamilishe flyovers pale ubungo mambo yatakuwa poa kama kule tazara sasa hivi hakuna tena zile foleni za kiboya pale makutano ya tazara, na wala hauwezi kukuta buguruni kuna foleni kama zamani hata matrafiki sio sana.....
 
Maajabu ya hapo Round about asipo kuwepo Traffic huwaga hakuna foleni ila mkimkuta lazma kutakuwepo na Foleni
 
Back
Top Bottom