Vijana wetu wanaumia, wanapata vilema kwa ajili ya overload ya bodaboda na nyie mnaona. Hivi kwa nini adhabu kali ni kwa magari tu!!
Viongozi na yoyote anayehusika chondechonde tupia jicho swala hili ni janga na linamaliza Vijana.
magari yanakamatwaga kwasababu yanaaribu barabara it's time na hawa wabeba mizigo wa maguta, bodaboda na wanaobebaga migongoni wathibitiwe hawajali afya zao kabisa