Kwa dunia ya leo kujua lugha mbalimbali ikiwemo kiingereza, ni muhimu. Lakini ikitokea usiweze kujua lugha mojawapo wala isiwe kitu cha kustaajabisha mpaka lifike JF! Heri mimi najua Kiswahili, Kinyakyusa, Kibena, Kihehe, Kinyambo, Kichaga na Kiluguru kidogo; na ninajivuniakujua lugha hizo za nyumbani. Kiingereza najifunza, nitajivunia nikikijua.