Nini kifanyike ilikuondoa adha hii?Huo ni wizi kwa kuwa hatujitambui tunaendelea kuibiwa tuu Camera inatakiwa kibao cha Camera na Speed inayotakiwa hapo basi na speed inapozidi ukamatwe hapo hapo uandikiwe faini yako au kwa wenzetu unakutana na fine nyumbani maana gari zote zina address sasa Trafik wamekuwa wao police na mahakimu wenyewe kwa kuendelea kutumia simu zao hiyo sishangai Nchi yetu Masikini hata fikra na maamuzi ya kimasikini...
Waale wa mbewe nao yao ndo haya haya njia ya kwenda TAngaJaman hii tabia ya Traffic anapiga picha gari na speed kwa kujificha anamtumia Traffic wa mbele yake Dereva ataamin vp iyo picha Imepigwa eneo la speed limit?
Kwanini wanajificha?kwani lengo langu traffic ni kusaidia kuzuia au kuondoa tatizo au nini?
Tusifumbie macho hii tabia.....
Mi nikiona 50 natembea 30 au 40Mkuu hawa dawa yao ukiona kibao 30,50 nenda mwendo huo huo.
Picha zinaonesha gari yako.Hizo picha zina na mashaka. Je, zinaonyesha position, speed, na speed limit?
Mwingine kama wewe ndio anakuja kulialia humu utafikri hakuzidisha speed.Dah.... Jumamosi nilipita na 49kph kwenye 30kph matuta ya Mikumi National park ....sikumuona askari yoyote ila nilijua ni kweli niliover speed.... nikalipa fain na kuwapongeza askari kwa kazi nzuri....na nikawaachia maji ya kunywa
Jaman hii tabia ya Traffic anapiga picha gari na speed kwa kujificha anamtumia Traffic wa mbele yake Dereva ataamin vp iyo picha Imepigwa eneo la speed limit?
Kwanini wanajificha?kwani lengo langu traffic ni kusaidia kuzuia au kuondoa tatizo au nini?
Tusifumbie macho hii tabia.....
Utaletewa tatizo mda ndo cha msingi huwezi zalisha mda,lkn Pesa unaweza zalisha we toa tu tutunishe mfuko wa taifa.Picha italetwa ila hadi Jamaa porini amalize kazi km ulikamatwa Asubui kaa tu usubirie Picha,sijajua kama wameshapata vifaa vya kutuma picha toka porini kwenye camera had utakapokamatiwa.cha muhimu ni kuheshimu sheria tu,au andaa tu hela ya kuchangia pato la taifa.Ukidai kuletewa camera unaletewa na unaoneshwa picha yako
Hata uwe makini huwezi kaa mwezi mzima bila kupewa cheti cha ubatizo labda upaki,90% ya magari yote yaliyosajiriwa yashawahi pewa cheti.Mi nikiona 50 natembea 30 au 40
Nikiona 30 ndio nasukuma kama LENA vile....
Basi wanakoma hawajawah niotea
Sio mbaya hata waje vitandani waangalie spidi za pampu tunazowapiga wenziwetu kama zinazidi kiwango kilichowekwa na jumuiya za wanawake.Wahamie na waenda kwa miguu...kuna jamaa wanatembea fasta sana inaweza kuwa hatari kwa usalama😛
Kujificha ni sahihi sio kosaJaman hii tabia ya Traffic anapiga picha gari na speed kwa kujificha anamtumia Traffic wa mbele yake Dereva ataamin vp iyo picha Imepigwa eneo la speed limit?
Kwanini wanajificha?kwani lengo langu traffic ni kusaidia kuzuia au kuondoa tatizo au nini?
Tusifumbie macho hii tabia.....