Mimi PIA imenikuta alhamisi mbeya pipelineJaman hii tabia ya Traffic anapiga picha gari na speed kwa kujificha anamtumia Traffic wa mbele yake Dereva ataamin vp iyo picha Imepigwa eneo la speed limit?
Kwanini wanajificha?kwani lengo langu traffic ni kusaidia kuzuia au kuondoa tatizo au nini?
Tusifumbie macho hii tabia.....
Embu mjibu mtoa mada kisheria na kiuhalisia,acha kujibu kimkato.Polen, mjifunze kuheshimu sheria za nchi.
Hizo picha zina na mashaka. Je, zinaonyesha position, speed, na speed limit?Polen, mjifunze kuheshimu sheria za nchi.
Ukidai kuletewa camera unaletewa na unaoneshwa picha yakoHizo picha zina na mashaka. Je, zinaonyesha position, speed, na speed limit?
Hayamkuti MBUZI haya, tuombe mungu na wewe yakukute ndiyo utajua TRAFIC ndiyo wakinaniPolen, mjifunze kuheshimu sheria za nchi.
Si waanzishe kodi ya vitambi tuone itakula wapiSerikali inakusanya mapato
Ndio wajifiche machakani, si wawachie kazi maafsa wanyampori.Polen, mjifunze kuheshimu sheria za nchi.
Mkuu hawa dawa yao ukiona kibao 30,50 nenda mwendo huo huo.Jaman hii tabia ya Traffic anapiga picha gari na speed kwa kujificha anamtumia Traffic wa mbele yake Dereva ataamin vp iyo picha Imepigwa eneo la speed limit?
Kwanini wanajificha?kwani lengo langu traffic ni kusaidia kuzuia au kuondoa tatizo au nini?
Tusifumbie macho hii tabia.....
Hapo ndipo patamu kuna siku nililetewa nikamwambia twende eneo lenyewe kufika halifanani nikamwambia twende nikakuonyeshe eneo ulilonipigia tochi kufika ni kama mita 100 kabla ya kibao cha kuanzia speed 50.Ukidai kuletewa camera unaletewa na unaoneshwa picha yako
siku ya ki kukuta na maybe una haraka ya MSIBA,mgonjwa,kazi nk ndo utajua uonevu wa hawa matraffic njian.
Leo kwetu kesho kwako