IamMrLiverpool JF-Expert Member Joined Apr 27, 2014 Posts 4,875 Reaction score 7,516 Jul 27, 2018 #21 Weka picha
Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,338 Reaction score 17,875 Jul 28, 2018 #22 Zinawapendeza sana
D Didier TZ Member Joined Jul 15, 2017 Posts 17 Reaction score 20 Jul 28, 2018 #23 aka2030 said: Umeona wanakuwa kama kiwango securty guard Click to expand... 😀😀😀😀
Hunyu JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 4,773 Reaction score 4,341 Jul 28, 2018 #24 Wapi picha bossiii, maneno matupu hayajengi hoja, lazima kuwe na ushahidi.
suleym JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,961 Reaction score 1,211 Jul 28, 2018 #25 Kaizer said: Zinawapendeza sana Click to expand... Hivi hizi uniform ni kwa dar pekee, pwani na mikoa ya Jirani sijaona wakivaa Kama hawa wa dar?
Kaizer said: Zinawapendeza sana Click to expand... Hivi hizi uniform ni kwa dar pekee, pwani na mikoa ya Jirani sijaona wakivaa Kama hawa wa dar?
mnangagwa JF-Expert Member Joined Dec 3, 2017 Posts 1,007 Reaction score 1,511 Jul 28, 2018 #26 aka2030 said: Hivi nani ametoa amri ya hovyo hivi ambayo inaondoa hadhi ya vazi aina ya og Kwa hawa traffic wa kike kutochomekea mashati yao Nidhamu ya kipolisi pamoja na kuonekana smart ama mikanda imeisha ndio maana Click to expand... Acha ushamba,OG kirefu chake ni Olive Green,hizo nguo za traffic zina rangi hiyo?kukariri kubaya sana.hizo nguo zinaitwa walking dress
aka2030 said: Hivi nani ametoa amri ya hovyo hivi ambayo inaondoa hadhi ya vazi aina ya og Kwa hawa traffic wa kike kutochomekea mashati yao Nidhamu ya kipolisi pamoja na kuonekana smart ama mikanda imeisha ndio maana Click to expand... Acha ushamba,OG kirefu chake ni Olive Green,hizo nguo za traffic zina rangi hiyo?kukariri kubaya sana.hizo nguo zinaitwa walking dress
Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,338 Reaction score 17,875 Aug 1, 2018 #27 suleym said: Hivi hizi uniform ni kwa dar pekee, pwani na mikoa ya Jirani sijaona wakivaa Kama hawa wa dar? Click to expand... Mikoani pia wanavaa mkuu kama kawaida. zinawatoa kweli
suleym said: Hivi hizi uniform ni kwa dar pekee, pwani na mikoa ya Jirani sijaona wakivaa Kama hawa wa dar? Click to expand... Mikoani pia wanavaa mkuu kama kawaida. zinawatoa kweli
Bigirita Platinum Member Joined Feb 12, 2007 Posts 16,049 Reaction score 7,489 Aug 1, 2018 #28 Kaizer said: Zinawapendeza sana Click to expand... Vile viskirt vilikua tabu sana. Haviwapi uhuru. Halafu wanachafuka katikati ya mapaja kwa vumbi na moshi.....teheteheee
Kaizer said: Zinawapendeza sana Click to expand... Vile viskirt vilikua tabu sana. Haviwapi uhuru. Halafu wanachafuka katikati ya mapaja kwa vumbi na moshi.....teheteheee
Duke Tachez JF-Expert Member Joined Mar 28, 2018 Posts 5,461 Reaction score 4,172 Aug 1, 2018 #29 Weka picha