Traffic Tabata Reli Mnazingua

Watakwambia wanatoa kipaumbele kwa gari zinazotoka mjini
Kuna traffic wanawake pale yani anaruhusu za upande mmoja tu hadi kelo nusu saa nzima ametuganfisha
 
hivi taa za kuongozea magari zinakazi gani
 
Hapo tabata relini pasua ukiacha taa zitumike wanaotoka tabata hata mchana wanakaa foleni...
Bora traffic anavutaga njia mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…