Ndo zao ticha angu aliwah niambia huwa wanapewa hela so utakuta anaruhusu magari yatokayo kimara kwa muda mrefu,kama watokea barabara ya mandela na sam nujoma utangoja sana!
Yaani kuna muda sijui huwa wanasahau pande nyingine? Ni issue nyeti hii, suala la muda wa mtu kuuchezea unaweza ukamkosesha ajira na fedha kibao. Wabadike.