Traffic Jam Kigamboni

Traffic Jam Kigamboni

King _Of_Everything

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
702
Reaction score
1,378
Habari za jioni.
Kwa wakazi wa kigamboni hatuna uzoefu na foleni za magari barabarani kulikoni leo?

Kuanzia kona ya kuelekea darajani (Keep left)Kisiwani kuelekea Kibada kuna foleni heavy ni nini kimetokea huko waungwana. Tunaomba msaada kwa Traffic Police aliye karibu atusaidie hali ni mbaya sana, gari hazisogei kabisa.
Asanteni.
 
Kuna Natengeneza Ya Barabala Pale Kisiwani Nadhani Kesho Tutapita Bila Foleni
 
Back
Top Bottom