Ndio ya ubora mkubwa sana.
wacha niweke weke.....6.7mill tu hiyo maongezi yapo
Kwa mtaji huu itabidi wengine tuendelee na tz 11 tu.6.7mill tu hiyo maongezi yapo
6.7mill tu hiyo maongezi yapo
mbona inawatosha jamani muungwana dereva we umestaleheHahahaha yaani mie ndio wa kununuliwa hiyo? Kheri hata baiskeli