SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,028
- 5,359
Habari wadau.
Namshukuru Mungu kwa uzima.
Natafuta Tractor (gari la kulimia) ambalo ni la kukodisha kwa ajili ya kilimo.Na kulikodi ni kwa msimu tu. Tractor lenyewe liwe katika hali nzuri. Kama nitapata mtu wa mikoa ya Manyara, Arusha, Dodoma Tanga, Singida, Kilimanjaro na Morogoro itakuwa poa zaidi. Kwahiyo basi kama kuna mtu analo ama rafiki yake analo naomba nijulishwe jamani msimu wa kilimo ndio huu. Kama mtu yupo serious naomba ani PM.
Regards