Duuh Mechi za mwanzoni hapo wanaweza kuuza Mechi watakavyo.Timu za ligi kuu waongee nao vizuri😀😀Wamepewa miez mitatu tu viongozi wote watafute sehemu nyingine nadhani kwa muda huo watakuepo ila ikiisha miez wanasepa
Usikute ni abdul mtoto wa saa100🤣🤣
Kuanzisha timu sio sawa na kuanzisha genge.Hivi hapo nini kinakuwa kimeuzwa ikiwa kila kitu kinakuwa kipya. Hawa TRA si wangeanzisha tu timu yao?
Siyo kweli. Timu haijauzwa, wenyewe wamekanusha.Wamemwaga bilioni ngapi? Haya masuala hayapaswi kuwa siri
Kuanzisha timu hadi kuja kupanda ligi kuu sio kazi ndogoHivi hapo nini kinakuwa kimeuzwa ikiwa kila kitu kinakuwa kipya. Hawa TRA si wangeanzisha tu timu yao?