Naunga mkono sheria nyingi za Kodi ni kandamizi, TRA ni watekelezaji tu wakulaumiwa ni wawakilishi wetu bungeni waliotunga na kupitisha sheria hizo.Pitieni upya sheria za Kodi ziwe rafiki kwa pande zote mbili.TRA wakiamua kusimamia sheria ipaswavyo ni vilio na kusaga meno kwa walipa kodi.