TRA wanaboa ile mbaya

We kama unabisha huo usumbufu haupo nenda kesho TRA MWENGE. mimi mwenyewe ni shahidi. Hakuna sticker ukishalipia na hizo gharama za fire. Ila kuhusu hao Police wasikusumbue kuhusu road licence HAIWAHUSU ni kazi ya TRA TU.
 
Watanzania tumezoea uongo na tunapenda kulalamika ili tuonewe huruma. Hakuhakikishia HAKUNA ROAD LICENCE ya kusubiri week au zaidi. Tatizo la magari ya kuazima au kutumwa ndio mnakuwa hamjui sheria . Umekamatwa na (polisi) traffic. Hawezi kukulipisha faini mpaka ukubali kosa. Harafu utalipa faini na atakupa receipt na maelezo (NOTIFICATION) inayoeleza kosa lako. Story hizo pelekeni vijijini
 
Eti mtu kilipishwa faini na kalipa na hadi leo hajasoma hiyo receipt ...... Anasema alikuwa tra mara alipotoka hapo akakamatwa na polisi. Mara alikuwa na mizigo na familia kwenye gari ndio maana akalipa.
 
Naongea kwa moyo mweupe kabisa kama kweli huyu jamaa maelezo aliyoyatoa ni ya kweli basi mimi nitampa msaada na atarudishiwa hela yake na hao askari tutawapata tu . Na tra tutamtafuta huyo afisa na atatoa maelezo. kama kweli ni pm.
 

Kwanza sio kazi ya polisi kukagua road licence na hata ikisha una allowance ya mwezi mmoja, tembea na risiti wakikukamata waonyesha ulishalipia.wakikuzingua waambie waende kwa Harry kitillya awaeleze tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…