Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,111
- 26,002
Kwa muda sasa makusanyo ya TRA yameendelea kupungua.
Biashara zinafungwa, na wananchi hasa katika sekta binafsi wameendelea kupunguzwa kazi.
TRA ilianza kwa kukusanya kodi hadi trilioni 1.5.
Kwa sasa wakipata 0.9 trilioni ni bahati.
Nyingi ya kodi hizo ni faini na riba ya kodi isiyolipika.
Hivyo kodi halisi kwa maana ya kodi ni ndogo mno!
Aliyenichefua ni waziri Mpango, waziri mwenye dhamana na TRA.
He is on record kusema hajui kwa nini biashara binafsi zinaendelea kufungwa.
Mpaka mwanzoni mwa mwaka huu biashara 2000 zilishafungwa.
Sasa hapa kodi sijui itatoka wapi yailahi!