Going Concern
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 1,071
- 1,213
Ndugu wana JF, nafikiri tufike wakati tubadilike nakuamini juhudi zinazofanywa na Taasisi hasa TRA ambao mpaka sasa kwa upande wa shortlisting wamejitahidi sana kwa kuweka system kuanzia shortlisting mpaka selection.watu wengi watakuwa mashahidi wa hili kwani katika kipindi cha mwaka mmoja ambapo wameanza mfumo huu utaona watu wengi wameitwa kufanya interview.
Nikirudi kwenye swali kuwa je unaweza kuomba nafasi zaidi ya moja? Kwa TRA nikweli unaweza omba nafasi zaidi ya moja na unaitwa kwenye interview zote , na system yao inaruhusu .K
:A S thumbs_up:
Qn acha uongo ndugu, kama huna uhakika u better quit. System ya tra ukimalza kuaply nafasi moja yenyewe inakuruhusu kuapply nafasi nyingine. Mimi naamii, kamma ingekwa hivo isingeruhusu coz kwanza ni system ambayo imekuwa progrmed tu.
Kama una qualiify position zaidi ya moja unaweza omba ila ikigundulika umekuwa shrtlisted kwenye nafasi zaidi ya moja, nyigine zote zinakuwa ignored na wanachukua only one