TRA/TBS najihisi kutapeliwa

ramses2

Member
Jan 19, 2016
47
29
Hivi ni kigezo gani kinacho weza kufanya nikatozwa ushuru wa Tsh. milioni 18 kwa Minibus 15 seats/Van? Ford transit/ya mwaka 2003/cc 2402/ in are mbele Diesel; toka UK.
Nisaidiyeni haya mahesabu na calculator imenishinda. Labda mwenye utaalam zaidi anijuze plz.

TBS ndo mwisho, wao wanakuambia utoke Dar ukapime ubora wa gari lako Kigoma. hawa amini vipimo vwa muingereza. sijuwi ni kutokujuwa au makusudi. UK sio London. London ni kama Dar na UK ni kama Tanzania.

msaada wenu plz.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom