TRA/TBS na ununuzi wa magari

ramses2

Member
Jan 19, 2016
47
29
Hivi ni kigezo gani kinacho weza kufanya nikatozwa ushuru wa Tsh. milioni 18 kwa Minibus 15 seats/Van? Ford transit/ya mwaka 2003/cc 2402/ in are mbele Diesel; toka UK.

Nisaidiyeni haya mahesabu na calculator imenishinda. Labda mwenye utaalam zaidi anijuze plz.


TBS ndo mwisho, wao wanakuambia utoke Dar ukapime ubora wa gari lako Kigoma. hawa amini vipimo vwa muingereza. sijuwi ni kutokujuwa au makusudi. UK sio London. London ni kama Dar na UK ni kama Tanzania.


msaada wenu plz.
 
Kama kuna mtumishi wa TBS naomba ushauri. Ukinunua gari South Africa ni ukaguzi upi na certificate ipi inakubalika na TBS.
Mwaka jana nimenunua gari SA nikapigwa penalt ya 30% ya CIF ingawa nilikuwa na Roadworthness certificate ya SA nikidhani inakubalika kwa nchi za SADC kumbe sivyo, TBS wekeni vitu wazi watu wavijue.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom