Skyblue
Senior Member
- Jan 3, 2014
- 196
- 55
jamani nimeitwa kwenye written interview TRA tarehe 12/12/2014 pale Diamond jubilee hall kwa post tajwa hapo. wanajf naomba nijuzeni kama kuna mtu anajua maswali huwa yanaulizwaje? ntashukuru kwa mwongozo mtakao nipatia. Niwatakieni siku njema na tulivu kwenu nyote.