Madam vivian original
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 503
- 998
Zote ni sawa tuu,Wakuu HV nikienda kuwaambia biashara imenishinda watanielewa kweli au bado watataka niwalipe nimekosa aman, hii nchi yetu jaman inakoendea mbona ....
Wakuu HV nikienda kuwaambia biashara imenishinda watanielewa kweli au bado watataka niwalipe nimekosa aman, hii nchi yetu jaman inakoendea mbona ....
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Tutakoma mwaka huu
Nenda kafunge watakuelewa kiroho safi.. usipofanya hivyo hata ukikaa miaka 5 utakuja kukutana na likodi lishakuwa trillion 1.5Wakuu HV nikienda kuwaambia biashara imenishinda watanielewa kweli au bado watataka niwalipe nimekosa aman, hii nchi yetu jaman inakoendea mbona ....
Yaani wanenipa tin, alafu wakaniambia nikalipe asilimia 10, ya Kofi yangu ya mwaka mzima. Nikalipa elfu hamsini hapo hata cjafungua, nikamwambia ndugu yangu cjaanza hata biashara yenyewe hii pesa mliyonikadilia ntaitoa wapi?, wakasema Dada hiyo ndo kima cha chini kwa wenye biashara ndogo. Niliondoka TRA huku machozi yananitoka nikakaa home siku3 sijafungua nawaza nifanyaje alafu nilipo nisehemu ambayo haijachangamka kabisaaaa.Kama ndo unaanza,unapewa Tin bure,kisha wanakuacha free miezi 3,
baada ya hapo ndo unaenda wanakukadiria,
usiende umevaa sijui wax la bei mbaya na usafiri wa nguvu,vaa katambuga zako vizuri kama enzi za mwalimu,nguo ziwe za upaukwe na ukifiga body language yako iwe ya kimasikini masikini sana,
watakukadiria hata elfu hamsini kwa robo mwaka,
kama hata hiyo inakushinda basi urudi ulime,
pia pengine ulikosea kujaza fomu panapokuuliza unatarajia kupata kiasi gani kwa mwaka,kama ulijaza above milioni 4,it has eaten to you...(imekula kwako)
Kwani ukifunga biashara ukaanza kuuza vitumbua watakuja kukuuliza...watakupatia wapi...Watakuelewa,ni juzi tu hapa wamewasamehe wafanyabiashara kibao ambao madeni yao yalionekana hayalipiki,So hata wewe ukienda ukawaelezea tatizo ni nini watakuelewa tu,kwani wamekuwa wakilaumiwa sana siku za hivi karibuni ya kuwa wanawabambikizia watu madai makubwa ya kodi na wao wanataka kuwaonyesha watu kuwa wanasikia kilio chao na wanabadilika,na ni bora ukaenda kuwaelezea shida zako kuliko ukikausha inaweza kuwa balaa kwako huko mbeleni.