Madam vivian original
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 503
- 998
Haikupaswa wapigwe bali wapigwe fainiAisee hii mbona ni hatari sana sema tamaa za kupata fedha za juu nazo mbaya sana
Hizo hips kwenye avatar ni zako mkuuu 😅Ndugu zangu jf habar za masiku mengi,
Nina ndugu yangu amekuja kutafuta maisha tanga nimempa bodaboda anaendesha na maisha yanaenda.
Leo jion akanipigia Kuna inshu nimsaidie anasema Kuna mpemba katoka zake zenji anadungu za mafuta anauzani mafuta ila anauza Bei chei dungu elfu60 kwa moja nayy angeuza 75 kwa moja akanishawish nimpe hela ili auze chap then angenirudishia pesa yangu nikajipinda nikampa pesa, akanunua kwa mpemba walikua na wenzake km watatu na wote wakanunua mafuta mpemba akasepa no lisit Wala nn, nawenyewe kwa kuwa hawajui hawakudai risit wao wakaanza kutafuta wateja sokon huku na huku TRA Hawa hapa, wakayaona Yale mafuta alikua ameweka dukan mawili jamaa kufika wakadai risit ya yale mafuta, jamaa hawana wakakamatwa na madungu yao hao mpaka TRA na kuanza kufanyiwa umafia huko.
Waliitiwa watu waliovaa mask na kupigwa na kuteswa mpka wamtaje Alie wauzia na wenyewe hawamjui na wamesema hawajui lakin hawakuamini Wala kuelewa wanaomba msamaha kwamba hatukujua Kama ni magendo sisi tumenunua tu, ili kupata rizki kidogo za familia lakin pia hawakuelewa mpka tunapoongea ndugu yetu yupo bombo hosp cjui Kama atapona maana wanasema ameumia Sana kwa ndani na anapumulia oxygen.
Swali langu kwa TRA je mamlaka ya kukamata watu na kutesa na kuwapiga wameitoa wap au ndo wanavyofanya watu wakikamatwa na magendo nikupigwa mpka kufa, baada ya kupelekwa polisi wao wanawapiga na kuwatupa barabaran je hii ni sawa ndugu zangu.
Na hapo wamemwambia aende jumatatu kufata faini ya madungu yake na huku mtu yupo ICU hii ni sawa. Mwingine wamempiga mpka wamemvunja mkono hii ni sawa kwenu TRA
Ni kweli wanakosa Ni wangefata Sheria wsngepelekwa police na wangelipa faini kuliko walivyo wafanya je ikitokea wamepoteza maisha na mtu ana familia inamtegemea. Ni kosa ndio he Ni halali kwao kuua na kudhuru mtuAisee hii mbona ni hatari sana sema tamaa za kupata fedha za juu nazo mbaya sana
Katiba mpya!Ndugu zangu JF habari za masiku mengi. Nina ndugu yangu amekuja kutafuta maisha Tanga nimempa bodaboda anaendesha na maisha yanaenda.
Leo jioni akanipigia kuna inshu nimsaidie, anasema kuna mpemba katoka zake zenji ana madungu ya mafuta anauzani mafuta ila anauza bei chei dungu elfu60 kwa moja nayeye angeuza 75 kwa moja akanishawishi nimpe hela ili auze chap then angenirudishia pesa yangu.
Nikajipinda nikampa pesa, akanunua kwa mpemba walikua na wenzake kama watatu na wote wakanunua mafuta mpemba akasepa no lisit Wala nini, na wenyewe kwa kuwa hawajui hawakudai risiti wao wakaanza kutafuta wateja sokoni huku na huku TRA Hawa hapa, wakayaona yale mafuta alikua ameweka dukani mawili jamaa kufika wakadai risiti ya yale mafuta, jamaa hawana wakakamatwa na madungu yao hao mpaka TRA na kuanza kufanyiwa umafia huko.
Waliitiwa watu waliovaa mask na kupigwa na kuteswa mpka wamtaje aliye wauzia na wenyewe hawamjui na wamesema hawajui lakini hawakuamini wala kuelewa wanaomba msamaha kwamba hatukujua Kama ni magendo sisi tumenunua tu, ili kupata ridhiki kidogo za familia lakini pia hawakuelewa mpka tunapoongea ndugu yetu yupo bombo hospitali sijui Kama atapona maana wanasema ameumia Sana kwa ndani na anapumulia oxygen.
Swali langu kwa TRA. Je, mamlaka ya kukamata watu na kutesa na kuwapiga wameitoa wapi au ndo wanavyofanya watu wakikamatwa na magendo nikupigwa mpka kufa, baada ya kupelekwa polisi wao wanawapiga na kuwatupa barabarani, hii ni sawa ndugu zangu?
Na hapo wamemwambia aende jumatatu kufata faini ya madungu yake na huku mtu yupo ICU hii ni sawa?
Mwingine wamempiga mpka wamemvunja mkono hii ni sawa kwenu TRA?
Sijaipata ya TANAPA Mbeya, kunani huko?Nchi hii kila mtu ni kambale, ukimaliza kuandika uzi, fuatilia askari Tanapa walivyofanya kule Mbeya
Ndugu zangu JF habari za masiku mengi. Nina ndugu yangu amekuja kutafuta maisha Tanga nimempa bodaboda anaendesha na maisha yanaenda.
Leo jioni akanipigia kuna inshu nimsaidie, anasema kuna mpemba katoka zake zenji ana madungu ya mafuta anauzani mafuta ila anauza bei chei dungu elfu60 kwa moja nayeye angeuza 75 kwa moja akanishawishi nimpe hela ili auze chap then angenirudishia pesa yangu.
Nikajipinda nikampa pesa, akanunua kwa mpemba walikua na wenzake kama watatu na wote wakanunua mafuta mpemba akasepa no lisit Wala nini, na wenyewe kwa kuwa hawajui hawakudai risiti wao wakaanza kutafuta wateja sokoni huku na huku TRA Hawa hapa, wakayaona yale mafuta alikua ameweka dukani mawili jamaa kufika wakadai risiti ya yale mafuta, jamaa hawana wakakamatwa na madungu yao hao mpaka TRA na kuanza kufanyiwa umafia huko.
Waliitiwa watu waliovaa mask na kupigwa na kuteswa mpka wamtaje aliye wauzia na wenyewe hawamjui na wamesema hawajui lakini hawakuamini wala kuelewa wanaomba msamaha kwamba hatukujua Kama ni magendo sisi tumenunua tu, ili kupata ridhiki kidogo za familia lakini pia hawakuelewa mpka tunapoongea ndugu yetu yupo bombo hospitali sijui Kama atapona maana wanasema ameumia Sana kwa ndani na anapumulia oxygen.
Swali langu kwa TRA. Je, mamlaka ya kukamata watu na kutesa na kuwapiga wameitoa wapi au ndo wanavyofanya watu wakikamatwa na magendo nikupigwa mpka kufa, baada ya kupelekwa polisi wao wanawapiga na kuwatupa barabarani, hii ni sawa ndugu zangu?
Na hapo wamemwambia aende jumatatu kufata faini ya madungu yake na huku mtu yupo ICU hii ni sawa?
Mwingine wamempiga mpka wamemvunja mkono hii ni sawa kwenu TRA?
Sio kwa vipigo lakini, Tanga hio wajiangalieLipeni kodi acheni uhuni
Hoja kuu ni TRA,baki hapo hapo!!Hizo hips kwenye avatar ni zako mkuuu [emoji28]