TRA Posts........

ukabila upo lakini umepungua kwa kiasi kikubwa, nichukue nafasi hii niwakumbushe msikatishwe tamaa
ndugu zangu mjiandae vya kutosha hapo msimbazi centre mnaweza mkawa hata zaidi ya mia tatu, mtafanya

APTITUDE TEST....
Ambayo itakuwa na maswali yanayohusu TRA in General, vision, mission, objectives,hasa ktk oral,
maswali ya hesabu, english, VAT calculation, Types of taxes. Sana sana waulize waliowahi kufanya interview ya hiyo post
kwani huwa wana tabia ya kurudia maswali. lakini najua wengi watapaniki ktk hesabu na ktk VAT Calculation, niwashauri tena maswali yanaweza yakawa 60 na vipengele zaidi ya vitatu muda ni saa moja, hivyo jaribu kufanya maswali unayoweza kwa speed ya light(3x100000000m/s) ili uweze kufaulu,,,,ukifanya usiondoke kesho cheki matokeo kisha jiandae oral,.................MUNGU NI MUWEZA>...........................
 
Mwenye update zozote kuhusu post za tra???naskia wametuma emails kwa wataoenda kwa written interview any update plzz

Watu wamesha pigiwa simu kwa mujibu wa taarifa nilizonazo mezani
 
kama huna asili ya mlimani usisumbuke kuunguza nauli!

Nafasi nyingi zimeshachukuliwa na akina mrema, kimaro, temba, mushi, shayo n.k!

Mmmmh !!!!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Yah cm walipiga sana tu, maana hata ijumaa na j mosi walikuwa wanapiga. labda wanaendelea na zoezi si mnajua ni national wise
 


nimepata mwanga asante mkuu
 
TRA washaanza kazi,,,,hiyo interview ni zuga tu

Mkuu mambo TRA siku hizi yamebadilika,kila kitu vinafanya hivyo vyuo wenyewe wanapewa taarifa tu.Nawajua jamaa zangu kibao wameajiriwa TRA bila kuwa na hao magodfathers.Cha msingi we jipange tu kwa ajili ya hiyo interview ambayo nafikiri inaendeshwa na Mzumbe.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
nimepata mwanga asante mkuu

Mara nyingi wanauliza mambo ya communication skills kama tenses,n.k,hesabu za repeating decimals,rounding off,integers na nyingine za form one.,nchi zinazopakana na tanzania,mipaka(customs border stations),hesabu za mafumbo,current issues na kodi kidogo.Maswali ni mengi na mengi ni ya kuchagua ingawa yapo ya kujaza.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
bado wanaendelea kupiga simu hadi leo wanapiga simu kwani mimi nimepigiwa leo majira ya saa tano. Wale ambao hamjapata simu na mna vgezo niwatie moyo mtapagiwa cm muda wowote
 
Fukara.... I hope now you are in a better position.. vp unaweza ukawa na desa (past tra test)
 
Fukara.... I hope now you are in a better position.. vp unaweza ukawa na desa (past tra test)

Sikubahatika mkuu,naganga njaa tu.Sina desa mkuu kwa kuwa tulikusanya hadi questions paper.Ila pita humo humo mkuu kama wametunga Mzumbe huwa hawacomplicate,Mlimani wakitunga ndo maisha huwa yanakuwa magumu.Kila la kheri Whitedent

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Fukara.... thanx man! kaka hapa mjini ajira zipo, tatizo ofisi nyingi bado zina kujuana !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…