Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,448
- 4,980
acha kupotosha umma! nani kakwambia ukabila ndio sifa ya kuajiriwa tanzania! u re competant ndio mpango mzima,wewe kama hauwezi ushindani uliopo kaa kimyaa ndugu! waache wenye uwezo wakapambane huko kwenye usahili! sisi wengine tusubiri zamu best of luck all interviewer!Ngoja mkurugenzi wa tra aondoke abadili mnyakyusa ndipo nionbe
kama huna asili ya mlimani usisumbuke kuunguza nauli!
Nafasi nyingi zimeshachukuliwa na akina mrema, kimaro, temba, mushi, shayo n.k!
Ndo tatizo la Watu kutoka mlimani wanapendeleana na kusaidiana hadi Raha.
hao hawajatumwa ila wana wivu wakike! sababu wametoswaaaaaaaaaa,wangepata wasingesema hayoMmetumwa nyie...!
acha kupotosha umma! nani kakwambia ukabila ndio sifa ya kuajiriwa tanzania! u re competant ndio mpango mzima,wewe kama hauwezi ushindani uliopo kaa kimyaa ndugu! waache wenye uwezo wakapambane huko kwenye usahili! sisi wengine tusubiri zamu best of luck all interviewer!
hapana unakosea kusema hivyo mkuu! ila jifunze kuwatakia wenzio heri mambo yao yakiwa mazuri,sio kuanza kuongea uzushi na kupotosha watu!Interview nabamiza sana ila tatizo mi mnyakyusa nakosa
hapana unakosea kusema hivyo mkuu! ila jifunze kuwatakia wenzio heri mambo yao yakiwa mazuri,sio kuanza kuongea uzushi na kupotosha watu!
alafu jiamini kuwa unaweza ila wakati wako ujafika
Ukweli unabaki pale pale TRA wachaga wamejimilikisha
Wacha umbea na ushakunaku ww..!
kuna rafiki yangu kapigiwa simu lakini e mail haioni..afanyeje?
kila alie omba kaitwa muraaaaaaaaaaaaaaa ili mradi una 3.5 na interview ya kwanza ni mtihani muraaaaaaaaaaaa ila kama ulivo elezwa hapo juu kama huna asili we pumzika hukohuko tu,pale ni kichalii zaidi,kama hutaki njoo uone. Mi mdogo wangu kaitwa yuko tarime nimemwambia asije muraaaaaaaaaaaaa,kwani hawa jamaa ni wasagani sana muraaaaaaaaaaaa
Interview nabamiza sana ila tatizo mi mnyakyusa nakosa