benja JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 331 Reaction score 230 Jan 23, 2013 #1 Mwenye update zozote kuhusu post za tra???naskia wametuma emails kwa wataoenda kwa written interview any update plzz
Mwenye update zozote kuhusu post za tra???naskia wametuma emails kwa wataoenda kwa written interview any update plzz
M MAPENZI UPOFU Member Joined Sep 5, 2012 Posts 10 Reaction score 1 Jan 23, 2013 #2 yap, interview ni tarehe 4 msimbazi centre mkuu
T twende kazi JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,520 Reaction score 461 Jan 23, 2013 #3 tar 4,mkuu.wenye uzoefu writen wanauliza nini zaidi?
Nokla JF-Expert Member Joined Aug 12, 2012 Posts 3,190 Reaction score 1,780 Jan 24, 2013 #4 twende kazi said: tar 4,mkuu.wenye uzoefu writen wanauliza nini zaidi? Click to expand... ni-PM umeitwa kada gani nikushauri ndugu yangu
twende kazi said: tar 4,mkuu.wenye uzoefu writen wanauliza nini zaidi? Click to expand... ni-PM umeitwa kada gani nikushauri ndugu yangu
T twende kazi JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,520 Reaction score 461 Jan 24, 2013 #5 Nokla said: ni-PM umeitwa kada gani nikushauri ndugu yangu Click to expand... mkuu nimekucheki pm
benja JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 331 Reaction score 230 Jan 24, 2013 Thread starter #6 habari zilizopo ni kwamba wameita post moja ya preventive assistants may kuna nyomi ya applications
S soam Member Joined Jan 23, 2013 Posts 31 Reaction score 8 Jan 24, 2013 #7 assistant tax officers pia wameitwa
mangi waukweli JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 246 Reaction score 27 Jan 24, 2013 #8 mmeitwa wapi mbona sioni tangazo
W Whitedent Member Joined Jan 15, 2013 Posts 45 Reaction score 4 Jan 24, 2013 #9 Mpaka sasa washaitwa watu karibu wote.. ni kwa njia ya email tu.
M MAJANGA NIACHE Member Joined Feb 21, 2012 Posts 95 Reaction score 6 Jan 24, 2013 #10 nokla said: ni-pm umeitwa kada gani nikushauri ndugu yangu Click to expand... 2ambizane wakuu kuhusu maswal
nokla said: ni-pm umeitwa kada gani nikushauri ndugu yangu Click to expand... 2ambizane wakuu kuhusu maswal
O omusimba JF-Expert Member Joined Jul 25, 2012 Posts 310 Reaction score 78 Jan 24, 2013 #11 kama huna asili ya mlimani usisumbuke kuunguza nauli! Nafasi nyingi zimeshachukuliwa na akina mrema, kimaro, temba, mushi, shayo n.k!
kama huna asili ya mlimani usisumbuke kuunguza nauli! Nafasi nyingi zimeshachukuliwa na akina mrema, kimaro, temba, mushi, shayo n.k!
R raky JF-Expert Member Joined Nov 14, 2011 Posts 206 Reaction score 34 Jan 24, 2013 #12 omusimba said: kama huna asili ya mlimani usisumbuke kuunguza nauli! Nafasi nyingi zimeshachukuliwa na akina mrema, kimaro, temba, mushi, shayo n.k! Click to expand... nakuunga mkono mkuu yaan pale wamejazana wa kabila la mlima mrefu Africa duuh watanzania tuna safari ndefu duuuh
omusimba said: kama huna asili ya mlimani usisumbuke kuunguza nauli! Nafasi nyingi zimeshachukuliwa na akina mrema, kimaro, temba, mushi, shayo n.k! Click to expand... nakuunga mkono mkuu yaan pale wamejazana wa kabila la mlima mrefu Africa duuh watanzania tuna safari ndefu duuuh
O omusimba JF-Expert Member Joined Jul 25, 2012 Posts 310 Reaction score 78 Jan 24, 2013 #13 nakuambia hivyo ni uhakika , kuna dogo anatoka huko mlimani ameanza kuaga hapa kazini ! Amepata kazi kwa post ya assistant tax officer, tena yeye na binamu yake! Eti usaili , poteza nauli yako kama sio mangi huna kitu!
nakuambia hivyo ni uhakika , kuna dogo anatoka huko mlimani ameanza kuaga hapa kazini ! Amepata kazi kwa post ya assistant tax officer, tena yeye na binamu yake! Eti usaili , poteza nauli yako kama sio mangi huna kitu!
Wingu JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 4,318 Reaction score 408 Jan 24, 2013 #14 Ndo tatizo la Watu kutoka mlimani wanapendeleana na kusaidiana hadi Raha.
M Ms mashaba Member Joined Dec 28, 2011 Posts 43 Reaction score 4 Jan 24, 2013 #15 wewe acha kuwakatisha wenzako tamaa. bakia na mawazo yako ya kianalogia, waache wenzako watupe karata zao.
wewe acha kuwakatisha wenzako tamaa. bakia na mawazo yako ya kianalogia, waache wenzako watupe karata zao.
TIQO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 13,786 Reaction score 2,102 Jan 24, 2013 #16 Ms mashaba said: wewe acha kuwakatisha wenzako tamaa. bakia na mawazo yako ya kianalogia, waache wenzako watupe karata zao. Click to expand... Ngoja mkurugenzi wa tra aondoke abadili mnyakyusa ndipo nionbe
Ms mashaba said: wewe acha kuwakatisha wenzako tamaa. bakia na mawazo yako ya kianalogia, waache wenzako watupe karata zao. Click to expand... Ngoja mkurugenzi wa tra aondoke abadili mnyakyusa ndipo nionbe
TIQO JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 13,786 Reaction score 2,102 Jan 24, 2013 #17 SERVO SERVUM said: 2ambizane wakuu kuhusu maswal Click to expand... Maswa? Usiunguze nauli yako ndugu
SERVO SERVUM said: 2ambizane wakuu kuhusu maswal Click to expand... Maswa? Usiunguze nauli yako ndugu
S soam Member Joined Jan 23, 2013 Posts 31 Reaction score 8 Jan 24, 2013 #18 nayaweza yote katika yeye anitiaye nguvu
B Babeshi Mwamba Senior Member Joined Jan 7, 2013 Posts 196 Reaction score 39 Jan 24, 2013 #19 jaribu
SOKETI JF-Expert Member Joined Jul 24, 2010 Posts 206 Reaction score 50 Jan 24, 2013 #20 kuna rafiki yangu kapigiwa simu lakini e mail haioni..afanyeje?