TRA Posts........

TRA Posts........

benja

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
331
Reaction score
230
Mwenye update zozote kuhusu post za tra???naskia wametuma emails kwa wataoenda kwa written interview any update plzz
 
habari zilizopo ni kwamba wameita post moja ya preventive assistants may kuna nyomi ya applications
 
kama huna asili ya mlimani usisumbuke kuunguza nauli!

Nafasi nyingi zimeshachukuliwa na akina mrema, kimaro, temba, mushi, shayo n.k!
 
kama huna asili ya mlimani usisumbuke kuunguza nauli!

Nafasi nyingi zimeshachukuliwa na akina mrema, kimaro, temba, mushi, shayo n.k!

nakuunga mkono mkuu yaan pale wamejazana wa kabila la mlima mrefu Africa duuh watanzania tuna safari ndefu duuuh
 
nakuambia hivyo ni uhakika , kuna dogo anatoka huko mlimani ameanza kuaga hapa kazini ! Amepata kazi kwa post ya assistant tax officer, tena yeye na binamu yake!

Eti usaili , poteza nauli yako kama sio mangi huna kitu!
 
Ndo tatizo la Watu kutoka mlimani wanapendeleana na kusaidiana hadi Raha.
 
wewe acha kuwakatisha wenzako tamaa. bakia na mawazo yako ya kianalogia, waache wenzako watupe karata zao.

Ngoja mkurugenzi wa tra aondoke abadili mnyakyusa ndipo nionbe
 
kuna rafiki yangu kapigiwa simu lakini e mail haioni..afanyeje?
 
Back
Top Bottom