mzalendo91
JF-Expert Member
- Sep 10, 2010
- 430
- 138
Ni muda sasa toka hao waajiri hapo juu watangaze nafasi za kazi na wenye sifa wakatuma maombi yao..
Je, kuna mdau yeyote mwenye tetesi kuhusu lini hayo mashirika yatatoa shortlist ya watakaotakiwa kufanya mitihani yao ya usaili
Sent from my BlackBerry Z30 using JamiiForums mobile