TRA ni taasisi inayoyumba kama bendera!

TRA ni taasisi inayoyumba kama bendera!

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,410
Reaction score
14,119
Moja ya mifumo mikuu ya mapato ya serikali, ni TRA~Tanzania Revenue Authority.
Katika miaka ya karibuni Taasiisi hii imekuwa very, very unstable kiutendaji.
Kodi uliyolipa leo ni tofsuti kabisa na miezi sita ijayo, na inategemea viongozi wa juu wamesema nini.

Turn over ya uongozi wa juu unaweza kuwa umechangia.

Kikubwa, instability ya makadirio ya kodi si tu inakatisha tamaa, bali hata watu kufunga biashara, wengine kukimbilia nchi za jirani na wawekezaji aidha kuondoka na kufunga miradi.
Wakati huo huo huo wawekezaji wapya wakiendelea kupungua.

Cha kushangaza mwaka jana January 2017, Waziri wa Fedha akiulizwa na waandishi wa habari kwa nini biashara 2,000 na zaidi zimefungwa, yeye alijibu kuwa hata yeye hajui!!

Na hilo ndo kina cha tatizo letu na masuala ya kodi.
Viongozi wetu wamegutuka mwaka huu, mapato ya kodi kupungua, ajira kupotea.

Habari toka Tunduma kuwa Mkuu wa Mkoa sasa anawatafadhalisha wafanyabiashara warudi bongo kulipa kodi, kwa vile kodi "zinazunguzika" ni jambo la kushangaza.

Wskati TRA ikiwanyonga wananchi kwa kodi zisizostahili, Serikali "Alikwina"?

Serikali ikumbuke kuwa wafanyabiashara wengi sasa hivi, hasa wazawa, ni wasomi, na wangependa kulipa kodi si tu zinazoeleweka bali zilixo stable na haziyumbishwi na matamko ya kisiasa.
Leo wananchi wa Tunduma wamekimbilia Zambia, sababu-usumbufu wa TRA.
LEO mafuta ya kupikia yameadimika, viwanda vya mafuta vinafungwa na wafanyakazi kusimamishwa~kisa TRA.
Cha kushangaza, viwanda hivyo vimekuwapo kwa miaka sasa.

TRA ni Taasisi inayoyumba sana na kuyumbisha uchumi wa nchi.
 
Yote inasababishwa Na mtu anayeita wenzie vichaa
 
Ikiwa hata petty trsders wa Tunduma vote to leave the country, to trade in a fiscal policy stable country, Zambia, hili liwe somo kwa Dr Mpango na Kicheere wa TRA.
Kuendesha uchumi wa nchi kwa fiscal.policies mbovu, wanaonekana kuwa novices on the job.
 
Umetumwa n

umetumwa na mazungu ha ha ha CCM bhana
 
mkuu sidhani kama watakuelewa. Wapo busy kuangalia nani anamkosoa rais then waende kuangalia kama analipa kodi!
Ni mwendo wa kukomoana tu
 
Malamiko kwa serikali ni TRA inavyoyumbisha biashara.
Tusitegemee biashara kutengamaa.
 
Time will tell...

Hakuna kitu kibaya kama uchumi kuyumba... kwa sababu za kimakusudi kabisa..

Cc: mahondaw
 
kinachouma zaidi tunalipa kodi na hela zote zinaishia kwenye kuwalipa mishahara minono na kuendesha magari ya miliioni 200 huku huduma ambazo tulipaswa kuzipata kutokana na kulipa kodi zikiwa hoi, kuanzia hospital mpka mashule
 
Ikiwa hata petty trsders wa Tunduma vote to leave the country, to trade in a fiscal policy stable country, Zambia, hili liwe somo kwa Dr Mpango na Kicheere wa TRA.
Kuendesha uchumi wa nchi kwa fiscal.policies mbovu, wanaonekana kuwa novices on the job.

They are not novices, i believe they are intellectuals but they are simply victims of dictatorship
 
TRA washapatiwa muarubaini wao sahvi,ambayo ni kuwakimbia tu anza biashara/maisha kwengine.....

Ova
 
Back
Top Bottom