malogi1976
JF-Expert Member
- Apr 22, 2016
- 297
- 168
- Thread starter
-
- #41
Nimekuelewa ila mi naona wangetowa au tangaza kuwa utaratibu ni huu ili hata wateja waliozowea kulipa siku ya kuondoka wawe wanaelewa kuwa ni kulipa kwanza maana kuna waliozowea vinginePoleni sana...
Inabidi mbadilishe utaratibu...
Hotel nyingi sana kama siyo zote, ukishafanya booking unalipia kabisa hizo siku ulizosema utakaa hapo hotelini na receipt unapata, endapo utaongeza siku, unatoa taarifa na kulipia tena...
Katika hotel zote nilizokwisha kaa, sijawahi ona ambayo unalipia siku ya ku-check out... extra services zozote ulizotumia ndiyo bill unapewa siku ya kutoka, kama ulitumia simu, ulitumia vinywaji ulivyokuta kwenye friji...
Cc: mahondaw
kuna guest house ukiwa mteja wa siku nyingi unalipa siku ya kuondokaWewe wamekuweza maana ulikuwa unataka kuwadanganya eti wateja hulipa siku wanaondoka? Hotel ya wapi hiyo? Mkwepa kodi mkubwa wewe!
Nimekuelewa ila mi naona wangetowa au tangaza kuwa utaratibu ni huu ili hata wateja waliozowea kulipa siku ya kuondoka wawe wanaelewa kuwa ni kulipa kwanza maana kuna waliozowea vingine
Wanajifanya ni miungu watuTRA mnatakiwa muwe na special thread humu kama NMB,STAR TIMES NA VODACOM
Wafanyabiashara wanalielewa hili wasioelewa utakuta wana comment ujinga humu..umesema ukweliUKWELI KUHUSU TRA
1.TRA sasa hivi wanadiscourage watu wengi kufunga biashara kwa sababu ya kufanya kazi kiuadui.
2.Maafisa biashara wamekuwa kero katika kutoa leseni za biashara kwa kuwa wanataka rushwa kwa hali na mali na ushahidi upo
3.Tutegemee biashara nyingi kufungwa iwapo kama TRA wataendelea na tabia yao hii ya kufanya kazi kwa uadui
Na wanakuwaga wamechoka kweli ubabe mwingiWanajifanya ni miungu watu
Nami nashangaa wakati wanatakaga cha kwao mapema.usipolipa asubuhi hao mlangoni
Huu ni urongoooo!Mmmh kulipa wakt wanatoka?ya kweli haya
Nalipa ningekuwa silipi wangekwisha funga hoteli yangu stillll open!Huu ni urongoooo!
Hotelini ulale kisha ulipe asubuhi? Sijawahi kuona. Hiyo hoteli iko wapi?
Lipa kodi wewe bila shurti tujenge vi-wonder na reli!
Tofautisha kati ya hotel na guest houseNami nashangaa wakati wanatakaga cha kwao mapema.usipolipa asubuhi hao mlangoni
Jamani ni kweli hotel nyingi sana kama unakaa zaidi ya siku moja unaweza kulipa siku ya mwisho unapoondoka.Wewe wamekuweza maana ulikuwa unataka kuwadanganya eti wateja hulipa siku wanaondoka? Hotel ya wapi hiyo? Mkwepa kodi mkubwa wewe!