TRA ni kiboko sasa

labda walikuwa wanakusanya bednight levy... kila kichwa hotel above 3 star(kama nipo sahii) wanatakiwa 1.5 usd per night iende TRA...ila hotel chache sana ndio zinapeleka nyingi zinakwepa
niliisoma hii sheria 2014 ila sehemu nyingi haitumiki
 
Inategemea na hotel unazo lala wewe ila umesema ni short time basi hizo zitakuwa zile za elfu nne. Lakini kitu kinachoitwa hotel unalipa siku unaondoka tena watu tumekaa hadi wiki mwezi lakini tunalipa siku ya kusepa. We sema tu huwa unalala hotel/lodge za aina gani?
 
Mbona hoteli nyingi tu mimi nalipa siku ninayoondoka
 
Wanaokushangaa wanafikiri Hotels zote ni kama zile Guest House za Sinza. Usiwalaumu.
 
Kitu nilichogundua mabosi TRA hawana shida, shida iko kwa hawa watu wa chini. Wanalazimisha mazingira ya rushwa. Na unakuta wamejaa hata humu JF kutwa nzima kuponda serikali.
 
haaaaaa sh4000 unenichekesha ila kweli hizo hata id huonyeshi maana unaingia kwa kujificha ficha sasa hawajui mambo ya hotel
 
Hamia Nchi jirani achana na hao matahira
 
Duh nimeipeleka mashine kwa supplier asubuhi hii, nilijua ina matatizo. Maanake TRA wakija wakikuta hujatuma au kutoa risiti watakupiga faini kumbe kosa lao wao.
 
Duh nimeipeleka mashine kwa supplier asubuhi hii, nilijua ina matatizo. Maanake TRA wakija wakikuta hujatuma au kutoa risiti watakupiga faini kumbe kosa lao wao.
Na shida iko wapi wanaingia kiubabe wanasahau wengine tunalipa kodi sio wote ni wabaya ni umkamate mtu na kosa ndo wafanye ubabe wao ni shida..na hapo wangekuachia barua kuwa hutumii mashine kumbe ipo na tatizo
 
Kwani ni lazima mmiliki biashara za maduka na Hotel ambazo TRA wanawafuata? fanyeni na biashara zingine tuone TRA watakula wapi.
 
Poleni sana...

Inabidi mbadilishe utaratibu...

Hotel nyingi sana kama siyo zote, ukishafanya booking unalipia kabisa hizo siku ulizosema utakaa hapo hotelini na receipt unapata, endapo utaongeza siku, unatoa taarifa na kulipia tena...

Katika hotel zote nilizokwisha kaa, sijawahi ona ambayo unalipia siku ya ku-check out... extra services zozote ulizotumia ndiyo bill unapewa siku ya kutoka, kama ulitumia simu, ulitumia vinywaji ulivyokuta kwenye friji...

Cc: mahondaw
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…