wameeanza kuita leo jioni usicheze mbali na mchina wako aisee
ni nafasi za april 2014 wameshatuma email ya invitation to written interview 12 december at diamond jubilee hall
First wanakutumia invitation letter in yo email kisha watakupigia simu kuconfirm nawe....mim nimepigiwa leo jioni around saa moja usiku....get prepared to receiv their cal kama ulifanya application!!
Mkuu kwel wameanza kupiga simu leo hata mimi nimepata simu yao leo ila nikaambiwa Invitation letter inatumwa kwenye email na ninapaswa kuwa nayo tarehe 12 december 14 diamond jubilee saa moja asbh for interview. So vuta subira unaweza kupigiwa jtatu