sendee Member Joined Jul 30, 2015 Posts 50 Reaction score 9 Nov 18, 2015 #21 Kwamaana hiyo kwa sasa tozo ya gari inachajiwa kama gari mpya? Hatakama ni 1990?
Abuu Kauthar JF-Expert Member Joined Jul 10, 2011 Posts 4,489 Reaction score 6,883 Nov 18, 2015 #22 sendee said: Kwamaana hiyo kwa sasa tozo ya gari inachajiwa kama gari mpya? Hatakama ni 1990? Click to expand... Thamani ya gari ikiwa mpya toa uchakavu
sendee said: Kwamaana hiyo kwa sasa tozo ya gari inachajiwa kama gari mpya? Hatakama ni 1990? Click to expand... Thamani ya gari ikiwa mpya toa uchakavu
sendee Member Joined Jul 30, 2015 Posts 50 Reaction score 9 Nov 18, 2015 #23 Sawa mkuu saju b nimekwelewa
J Jom06 Member Joined Mar 23, 2012 Posts 37 Reaction score 2 Nov 19, 2015 #24 Vp kuhusu magari aina ya mazda.nimeiona moja verisa.naomba maelezo kwa wanaoyafaham.kabla sijakurupuka,maana sioni watu wakiyaagiza sana.
Vp kuhusu magari aina ya mazda.nimeiona moja verisa.naomba maelezo kwa wanaoyafaham.kabla sijakurupuka,maana sioni watu wakiyaagiza sana.
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,799 Nov 19, 2015 #25 Focus120 said: Naona bado una stress umekosa viti maalumu. Click to expand... tehe tehe tehe Ze komedi zone has just kicked off.
Focus120 said: Naona bado una stress umekosa viti maalumu. Click to expand... tehe tehe tehe Ze komedi zone has just kicked off.
Focus120 JF-Expert Member Joined Nov 10, 2014 Posts 1,092 Reaction score 798 Nov 19, 2015 #26 hekimatele said: tehe tehe tehe Ze komedi zone has just kicked off. Click to expand... Hahaha. That will keep him mute I hope.
hekimatele said: tehe tehe tehe Ze komedi zone has just kicked off. Click to expand... Hahaha. That will keep him mute I hope.
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,799 Nov 20, 2015 #27 Focus120 said: Hahaha. That will keep him mute I hope. Click to expand... Labda.......
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 20,553 Reaction score 41,313 Nov 21, 2015 #28 Wapunguze Kodi kwenye Magari yanayosaidia Jamii Truck la mchanga kubwa milion 40 kodi tuu kwa Truck la mwaka 2002,Bus bei zinanunulika pia sema kodi ipo juu sana.
Wapunguze Kodi kwenye Magari yanayosaidia Jamii Truck la mchanga kubwa milion 40 kodi tuu kwa Truck la mwaka 2002,Bus bei zinanunulika pia sema kodi ipo juu sana.