kerubi afunikaye
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 1,183
- 1,061
Wewe ndo kati ya wale wakwepaji kodi za Serikali, sasa umeshapewa majibu kamuulize Serikali, sasa humu unamuuliza nani? Na hiyo taarifa uloeleza sio ya kweli kwamaba imekutokea wewe, wewe umeskia watu ukaona uje kuiweka humu ndani, acha uongo na uache kupotosha umma!Wadau wenzangu humu Jf naomba mnielimishe labda mimi sijaelewa.Nimekwenda kulipia road licence ya gari yangu TRA.
Kufika pale nikapewa figure kubwa mno.Nauliza naambiwa ni road licence, penalty ya miezi miwili na makato ya fire extinguisher.
Nikawaomba hiyo fire extinguisher wakasema hawatoi.Nikawauliza kama wao hawatoi niifuate wapi, wakasema nikanunue madukani zimejaa tele.
Nikawauliza kwa nini sasa wanatoza hii kitu kwenye road licence wakaniambia nikaiulize serikali, wao ni watekelezaji tu.
Sasa kabla sijafika ikulu kwa serikali, nimeonelea nije humu jf kwenu watanzania wenzangu niwaulize kuhusu hii kitu, hivi hii ni haki jamani? Ulipie kitu usichopewa halafu bado huko barabarani sheria inakubana uwe nacho, na ukienda dukani unakinunua elfu 12, 15 huku TRA wameshakulipisha 30000 bila kukupa? Sasa hizi elfu 30 za nini? Wengine tayari tulishakuwa nazo hizi kitu tumenunua huko previously, sasa kwa nini nazilipia? Hebu naomba elimu kwa mlipa kodi hapa.
Wewe na mtoa taarifa mnapokwepa kulipa kodi mkibanwa mnaisema vibaya serikali mnategemea nini? Lipeni kodi muone kama mtabanwa! Acheni wehu humu ndaniPole sana mkuu hii nchi ina usengerema mwingi sana.. Hili suala mi nilishaamua kulikaushia tu nikisubiri tuwangoe hawa mambwiga madarakani kwanza..
Wewe na mtoa taarifa mnapokwepa kulipa kodi mkibanwa mnaisema vibaya serikali mnategemea nini? Lipeni kodi muone kama mtabanwa! Acheni wehu humu ndani
Ndio maana nikasema nielimishe mkuu.Kama una taarifa sahihi weka hapa kwa faida yangu na wananchi wengine waliosikia huu uzushi.Au sio?Wewe ndo kati ya wale wakwepaji kodi za Serikali, sasa umeshapewa majibu kamuulize Serikali, sasa humu unamuuliza nani? Na hiyo taarifa uloeleza sio ya kweli kwamaba imekutokea wewe, wewe umeskia watu ukaona uje kuiweka humu ndani, acha uongo na uache kupotosha umma!
Mkuu we acha tu.Hawa watu wa aina hii inabidi twende nao hivyo hivyo humu jf.Ni shida kwa kweli.Acha upuuzi wewe.. Unajua hata kinachoongelewa hapa au umekurupuka tu?
Mkuu, hii elfu 30 ya fire extinguisher kwenye road licence ni ya nini? Hebu nielimishe mkuu inaonekana wewe ni mwandani wa serikali.Wewe na mtoa taarifa mnapokwepa kulipa kodi mkibanwa mnaisema vibaya serikali mnategemea nini? Lipeni kodi muone kama mtabanwa! Acheni wehu humu ndani
Ndio maana nikasema nielimishe mkuu.Kama una taarifa sahihi weka hapa kwa faida yangu na wananchi wengine waliosikia huu uzushi.Au sio?
Kinachofanyika ni kwamba hiyo tozo si ya TRA Bali in huduma ya ukaguzi wa gari kuhusu usalama dhidi ya ajali za moto ambayo huko nyuma ilikuwa inalipwa kikosi cha zima moto. Serikali iliamua TRA wakusanye ada hiyo pamoja na road licence kwa niaba ya idara ya zima moto.
Ukiishalipa unatakiwa kununua kifaa cha zimamoto na kisha kwenda kikosi cha zimamoto ili chombo chako kikaguliwe na kupewa nadhani stika ambayo utsbandika kwenye gari yako.