Baadhi ya Bodi za maji zipo vizuri sana kwanza control number ya mteja haibadiliki mwisho wa mwezi wanakutumia mita yako inasomaje kabla hawajakutumia bili ili mteja uhakiki kama ni sawa na baadae wanakutumia kwenye simu yako bili yako unalipa kwenye simu au benki au kwa wakalaWapo humu. TRA Tanzania bado mko nyuma sana kiteknokojia. Halafu mnapenda sana umwinyi.
Inaoneka huwa mnajisikia vizuri wafanyabiashara wanapojazana kwenye ofisi zenu kwa ajili ya kupata control number, ambayo mgeweza tu kuituma kwenye namba zao za simu, halafu wakawalipa kodi yenu wakiwa huko huko kwenye biashara zao.
Mnashindwa hata na idara za maji! Ambazo kila mwezi zinatutumia bill za maji, na baadaye wanatuma tena control number ya malipo!! Acheni umangimeza bhana. Boresheni huduma zenu ili msiwachoshe walipa kodi kupitia yale mafoleni kwenye ofisi zenu
Sasa unajiuliza kama hizo Bodi za maji zimefanikiwa kutengeneza mifumo mizuri kwa wateja wake kulipa bills zao! Hawa TRA Tanzania kwa nini miaka nenda wanaendelea kutumia mifumo iliyopitwa na wakati!Baadhi ya Bodi za maji zipo vizuri sana kwanza control number ya mteja haibadiliki mwisho wa mwezi wanakutumia mita yako inasomaje kabla hawajakutumia bili ili mteja uhakiki kama ni sawa na baadae wanakutumia kwenye simu yako bili yako unalipa kwenye simu au benki au kwa wakala
Watu wanalalamikia usumbufu wanaoupata huko TRA wakati wa kufuatilia control number, wewe unaongelea kurejeshwa vitambulisho vya wamachinga.Ni ujinga mliokubali. Piganieni vitambulisho vya chinga virudi
Unaelewa kweli utaratibu wa kulipa kodi? Hicho unachokiita cha juu utapigwa na nani kama umeshafanyiwa makadirio ya mwaka mzima?Ili watupige cha juu Tanzania alietuloga kafa
Wapo humu. TRA Tanzania bado mko nyuma sana kiteknokojia. Halafu mnapenda sana umwinyi.
Inaoneka huwa mnajisikia vizuri wafanyabiashara wanapojazana kwenye ofisi zenu kwa ajili ya kupata control number, ambayo mgeweza tu kuituma kwenye namba zao za simu, halafu wakawalipa kodi yenu wakiwa huko huko kwenye biashara zao.
Mnashindwa hata na idara za maji! Ambazo kila mwezi zinatutumia bill za maji, na baadaye wanatuma tena control number ya malipo!! Acheni umangimeza bhana. Boresheni huduma zenu ili msiwachoshe walipa kodi kupitia yale mafoleni kwenye ofisi zenu
Mlipakodi anaweza kutengeneza mwenyewe control number bila kufika ofisi za TRA.
Mkuu kwa mambo kama haya madogo uwe unanicheki nakusaidia free kabisa.Kumekuwa na changamoto kubwa sana ya ulipaji kodi nchini hasa kwa wafanyabiashara wadogo, wafanyabiashara wengi wanagharamia fedha nyingi na kupoteza muda mwingi katika zoezi zima la kulipa Kodi.
Mathalani mlipa kodi anasafiri umbali mrefu sana kwenda kukadiriwa kodi na kupewa control number kwa kutumia gharama nyingi na kupoteza muda wake wa kazi.
Mfanyabiashara anaweza kukadiriwa kiasi cha Kodi lakini akajikuta anagharamia fedha nyingi kulipa Kodi hiyo. Mfano;
Kodi ni Tsh. 100000 lakini unatakiwa kwenda ofisi za TRA mara nne, gharama za usafiri ni kubwa. Kuna baadhi wanalipa mpaka 30000 go and return + chakula + muda unaopotea, 30000*4 ni 120000, hivyo mfanyabiashara anakuwa ametumia 120000 kwenda kulipa 100000.
Jambo hili halikubaliki kiuchumi, cha msingi utafutwe mfumo bora wa kuwasaidia wafanyabiashara kutotumia gharama nyingi kwenda kulipa Kodi, hii inawaumiza sana wafanyabiashara kwani wanatumia gharama nyingi sana.
TRA mbuni rafiki na sio kuwaumiza watu.
Mkuu next time nitafute nikusadie usipoteze muda. Muda ni maliNi changamoto sana Kila baadae ya miezi mitatu unapanda gari kufuata control number ambayo ungeweza kutumiwa kwenye simu ukalipa,nchi hii kufanya biashara kazi sana,tunaomba mamlaka ziangalie hili waaache kutuumiza