Tra mnajiaibisha barabarani live na rushwa za kimaskini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tra mnajiaibisha barabarani live na rushwa za kimaskini

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Pdidy, Sep 30, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,386
  Likes Received: 5,670
  Trophy Points: 280
  Loh

  Jamani ni swala la kusikitisha..hivi tangu mwanzo wa mwezi huu kumekuwa na vijana wanajivalia tai ni vichekesho wengine sijui wametokea ****** hata rangi awajui kumechisha
  utakuta wanasogelea gari za mtu ..nikamuuliza kaka mmoja mnatokea wapi wakadai TRA wanakagua road license
  Wasivyo na akili wanaweza kuona gari iko sawa wanaisimamisha wanaanza kuliza ooh kadi ya gari ..oohh umechukulia wapi pambafuuuuuuuuu kadi ya gari ulinininuliza wewe...awajamaa cha kusikitisha wanapata baahati ya kukamata magari yasiyo na road license...kwa masikitiko hata pesa wanayochukua aizidi alfu kumi

  sasa unaweza imagine road licennse zaidi ya laki na ,lakini na njaa zao wanaishia kuchukua alfu kumi na kupoteza mailion ya pesa..mi naomba kama ma bosi wa tra mmefanya mitaji yenu huko bandarini akulipi sana naomba takukuru wawepo kila traffic light ...haya ni mambo ya aibu hata kama njaa mnaliaibisha taifa jamani...
   
 2. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndo serikali yetu hiyo, inasema watu hawawezi kusoma bure wakati mapato ya ndani hawakusanyi vilivyo, rushwa kila sehemu kila mtu ni boss hawafanyi kazi ni ujanja ujanja tu wa kujipatia hela haramu.

  Wabadilike, kama hawataki tutawapa somo october 31.
   
Loading...