Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,959
Kuna watu wanafanya kazi 24/7 kwa mtandao huu wa internet hapa Tanzania. Hakuna kusingizia internet labda kuna shida mahalaTatizo sio TRA tatizo ni mtandao wa Internet hapa tz unazingua sana hata kwenye nyanja zingine.
Unazingua je? Mbona kuna kampuni nyingi tu hapa Bongo zinapiga kazi kwa kutumia mitandao na hazipati shida? Kwa nini TRA? Kama wanatumia teknolojia ya zamani si waseme wasaidiwe??Tatizo sio TRA tatizo ni mtandao wa Internet hapa tz unazingua sana hata kwenye nyanja zingine.
Nakubaliana na wewe ndugu! Kuna shida mahala, Kama mfumo wao wa kiteknolojia Uko outdated si waseme hata tender itangazwe ije kampuni itakayoleta mfumo bora?Kuna watu wanafanya kazi 24/7 kwa mtandao huu wa internet hapa Tanzania. Hakuna kusingizia internet labda kuna shida mahala
Yale yale ya mradi wa mabasi ya mwendo kasi Dar es salaam....eti miaka sita bado wanajenga mfumo wa ukusanayaji mapata!Kuna watu wanafanya kazi 24/7 kwa mtandao huu wa internet hapa Tanzania. Hakuna kusingizia internet labda kuna shida mahala
Mchawi wa maendeleo ya Tanzania ni watanzania wenyewe! Suala nyeti kama la mapato alafu wanafanyia Mzaha. Mashine zao magumashi matupu sijui zinatumia mfumo gani wa mtandao jambo linalozifanya kutokufanya kazi mda mwingi sana na kupelekea nchi kukosa mapato!Yale yale ya mradi wa mabasi ya mwendo kasi Dar es salaam....eti miaka sita bado wanajenga mfumo wa ukusanayaji mapata!
Hii ndiyo namna bora ya koungeza mzunguko wa pesa kwa walala hoi!
Mkuu, inawezekana tatizo sio la TRA ila hao wafanyabiashara wanataka kukwepa kutoa receipts.Kwa wiki nzima hii nimekuwa nikienda maeneo mbalimbali kununua bidhaa mbalimbali na kupata huduma Ila ninapodai risiti naambiwa mashine haina mtandao.
Hapana sio wafanyabiashara. Nimejihakikishia hata mimi kwenye sehemu mbili. Kuna shida kwenye mfumo wanaotumiaMkuu, inawezekana tatizo sio la TRA ila hao wafanyabiashara wanataka kukwepa kutoa receipts.
Hii nchi inabidi sasa tumshauri Mama Samia achukue watu nguli from private sector ndo waendeshe hizi taasisi nyeti ili tupate matokeo mazuri.hii si sawa kabisa sasa hivi kuna mitandao ya kutumia fibre optic inakuwaje taasisi kubwa kutokuwa na access ya high speed internet,na bado kuna fununu hata bandari wamerudi mfumo wa risiti za mkono
Kwanini hizo receipt zisitolewa "offline" kisha network ikizudi zile data za kwenye EFD zinakuwa "synced" na servers za TRA?Hapana sio wafanyabiashara. Nimejihakikishia hata mimi kwenye sehemu mbili. Kuna shida kwenye mfumo wanaotumia
Hapo huo ufahamu sina Mkuu. Tunahitaji elimu kwenye hiliKwanini hizo receipt zisitolewa "offline" kisha network ikizudi zile data za kwenye EFD zinakuwa "synced" na servers za TRA?