TRA interview

Mtihani ulikuwa fair Sana waliosoma kitabu cha CPA kile cheupe cha tax ukifunua mwanzo tu unakutana na majibu Ila sasa watu wengi tuliingia chaka umeulizwa characteristics za tax unajibu principle ,unaulizwa tax base unajibu tax system Ila mtihani ulikuwa fair ni darasani tupu upande was customs kidogo waliitaji uelewa japo nayo ni ya darasani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom