wadau, kuna jamaa kanitonya kuwa interview inakaribia, kwa yule anayejua hints za maswal yao atujuze hasa wale wadau wanaofanya kazi tra wanaweza wakatupa abc's
msaidieni jamani kama mnajua kuitwa au kutokuitwa kusiwe kigezo, kama unajua msaidieni, kwanini umkatishe tamaa?
mh kweli majanga nahisi kustaafu maana nisha choka kuaaply