Tra- interna investigation officers

Tra- interna investigation officers

makandomende

Member
Joined
Sep 2, 2013
Posts
82
Reaction score
43
:horn::frusty:Wadau, kwa yeyote mwenye updates za kuitwa kwenye usahili TRA kwa nafasi ya Internal Investigation Officers tafadhali tujulishane, maana muda umepita tangu application zifanyike, thank you naomba kuwasilisha
 
:horn::frusty:wadau, kwa yeyote mwenye updates za kuitwa kwenye usahili tra kwa nafasi ya internal investigation officers tafadhali tujulishane, maana muda umepita tangu application zifanyike, thank you naomba kuwasilisha

mkuu bado ni mapema sana hata mimi nlitupia vitu bado hawajaita
 
Hata mii nilirusha,mwisho ilikuwa ni 29/08/2013,bado ni mapema mno kulalamika.Je wasipokuita itakuwaje?
 
Mwisho ilikuwa ni 18 August 2013

waliextend muda mkuu hadi tar 29 mwezi uliopita na walitoa tangazo la hiyo extension ya muda kwenye gazeti ila nimelisahau sijui gazeti gani vile
 
Back
Top Bottom