High-tech Sai inatoa huduma za matibabu na vipimo vya afya kwa bei ya juu sana. WaPo mita 400 tu toka TAKUKURU makao makuu na mita 4000 tu toka TRA Makao makuu. Nimelipa amount hiyo na kwa mshangao nimepewa hiyo RISITI na kulazimika kuichukua kwani nilishalipa. Je hawa wana EFD zao.
Sent using
Jamii Forums mobile app