Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,941
- 51,061
- Thread starter
-
- #21
Aliyesema "corporate tax" ni Kifaurongo siyo mimi. Hii inaitwa Kodi ya Zuio.Tatizo wafanyabiashara wengi hawana shule na hawatafuti maarifa ndo maana wanalalamika juu ya hii kodi...wewe uliesema cooperate tax? cooperate tax inalipwa na kampuni mbona...
Watanzania wengi mmezoea kutokufuata sheria. Hii kodi ipo kihalali, hizo ndio kazi za wabunge mliowachagua kama hamuitaki waende Bungeni wawawakilishe. Ni uhuni uliopitiliza kushindwa kulipa kodi ambayo ipo kisheria. Mimi nawaomba TRA wafuate sheria na kukusanya hii kodi kama ilivyo kwenye sheria tulizojiwekea. Wacheni kulalamika chin chini tumieni wabunge wenu kuiondoa kama hamtaki. TRA fanyeni kazi yenu hapa kazi tu!
Wanajamvi hii kodi ya zuwio (withholding tax) ipo kwa mujibu wa sheria na ni kweli anayebanwa kuilipa na TRA ni mpangaji na wengi hatulipi maana ni moja ya kodi zenye kero.
Ushauri:- 1.kodi ni kwa maendeleo ya Taifa hivyo TRA usichoke kutoa Elimu kwa wananchi ili waweze kuchangia maendeleo ya nchi yetu.
2.Kiwango cha kodi watu wengi wananalalamika ni kikubwa hivyo hebu viwango vipitiwe upya na ikiwezekana viwango vya kodi virekebishwe.[/QUOTE
Pia sheria inasema mikataba yote ya upangishaji ni lazima ilipiwe stamp duty TRA. Kwa hiyo TRA iweke itaratibu wa kuwashauri wapangaji walipie mikataba stamp duty na hapo mapato ya wenye nyumba yatajulikana na hivyo ni rahisi kuwafanyia makisio ya kodi na kuwafuata badala ya kuwasumbua wapangaji. Kwa watdioakaobughudhi wapangaji sheria ya ardhi ichukue mkondo wake.
Wenye nyumba za kupangisha wengi ukiacha NHC na mashirika ya hifadhi ya jamii ndiyo wakwepaji wakubwa wa kodi ya mapato. TRA wanafumbia macho kwa kuwa nao wana majumba na hawataki kulipa kodi na pia viongozi wengi wa umma kuanzia mawaziri, wabunge nk wanafahamu huu ukwepaji lakini kwa kuwa nao wanahusika wanaona ni sawa tu serikali kukosa mapato hayo.
Mkuu hii kodi inaitwa withholding tax, na withholding tax hii kwa tabia yake ni mpangaji anatakiwa kuikata kutoka ktk pesa utakayolipa kama pango alaf uiwakilishe tra kisha mpatia mwenye nyumba/frem copy ya kukiri malipo. Ukifanya tofauti inakula kwako.
Tatizo Kwa wafanyabiashara wengi tunaanza kufanya biashara bilakua na elimu pamoja na utaratib mzima wa kod zote zinazotuhusu ndo maana tukikutana na issues hata ndogo tu tunasumbuka.
Nashauri jarib kujifunza japo kwa kias kidogo kodi zote zikuhusuzo, na jinsi gani ya kukabiliana nazo.
Kwa wale wafanyakazi wanajua kwamba kodi wanazotozwa kwa asilimia jinsi zilivyo ngumu na zinauma. Lakini kuna hii kodi tunayotozwa wafanyabishara kwa niaba ya wenye nyumba wetu naona wala siyo sahihi.
Mimi nimepanga kwa mtu nalipa laki mbili kwa mwezi, eti TRA wanataka mimi kwa kila laki mbili ninayolipa kama Pango, nikatwe asilimia kumi. Yaani natakiwa nilipe lakini mbili na elfu arobaini (240,000) kama Kodi ya zuio kwa kodi anayotakiwa kulipa mwenye nyumba wangu kwa mwaka.
Maelezo yao ni kwamba wewe mpangaji uende ukamdai mwenye nyumba wako kodi uliyokatwa na TRA. Swali langu wakati TRA wanajua wapi nilipopanga ni kwa nini wasitengeneze mfumo wa kupata hela yao ya kodi toka kwa mwenye nyumba wangu?
Iweje mimi nilazimishwe kulipa kodi kwa niaba ya mwenye nyumba wangu? Hivi kwa mazingira ya Tanzania ni rahisi kumwambia mwenye nyumba wako akurudishie kodi uliyokatwa na TRA?
HahahahaWameamua kumkomesha magufuli na ccm maana amewanyima ulaji,chezea wa Tanzania,wanataka achukiwe kelele za kumkataa zianze,anatumbua majipu bila ganzi lazima waskiao maumivu watafute njia mbadala wa kupambana
Kwa wale wafanyakazi wanajua kwamba kodi wanazotozwa kwa asilimia jinsi zilivyo ngumu na zinauma. Lakini kuna hii kodi tunayotozwa wafanyabishara kwa niaba ya wenye nyumba wetu naona wala siyo sahihi.
Mimi nimepanga kwa mtu nalipa laki mbili kwa mwezi, eti TRA wanataka mimi kwa kila laki mbili ninayolipa kama Pango, nikatwe asilimia kumi. Yaani natakiwa nilipe lakini mbili na elfu arobaini (240,000) kama Kodi ya zuio kwa kodi anayotakiwa kulipa mwenye nyumba wangu kwa mwaka.
Maelezo yao ni kwamba wewe mpangaji uende ukamdai mwenye nyumba wako kodi uliyokatwa na TRA. Swali langu wakati TRA wanajua wapi nilipopanga ni kwa nini wasitengeneze mfumo wa kupata hela yao ya kodi toka kwa mwenye nyumba wangu?
Iweje mimi nilazimishwe kulipa kodi kwa niaba ya mwenye nyumba wangu? Hivi kwa mazingira ya Tanzania ni rahisi kumwambia mwenye nyumba wako akurudishie kodi uliyokatwa na TRA?
Kwa mazingira ya Tanzania? Yaani kwa jinsi tunavyoishi kwa kubembeleza kwenye hizi nyumba tunamofanyia biashara halafu wewe unaongea kirahisi kwamba siyo mzigo kwetu? Yaani hawa wenye nyumba uwaambie umekata kodi yake kwa kuwa eti wewe ulikatwa kwa niaba yake na TRA, mtaelewana kweli!!?Hiyo kodi siyo burden kwako, inaitwa withholding tax, kwahyo wewe ni withholder, jukumju lako ni ku i withhold (kuizuia) kutoka kwenye pesa ya pango unayotakiwa kumlipa landlord wako, kwa mfano kama mkataba wa pango unasema ni laki nne utazuia 10% ya laki nne na utamlipa landlord TZS 360,000, na utampatia landlord wako withholding certificate kama udhibitisho wa malipo hayo ya kodi! narudia tena withholding tax siyo burden kwako.
a "Aliyesema "corporate tax" ni Kifaurongo siyo mimi. Hii inaitwa Kodi ya Zuio.
Unajua maana ya withholding Tax, tuanzie hapo kwanza