johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 93,946
- 164,182
Tangu imeanzishwa TRA haijawahi kuongozwa na mtoza ushuru.Alianza Sanare akaja muhasibu Kitilya then banker Bade na sasa Kadata.Sasa sielewi pamoja na ITA kuwepo kwa zaidi ya twenty five years wameshindwa kutoa wabobezi wa kushika nafasi nyeti hapo TRA.Ubunifu zaidi unahitajika pamoja na success iliyofikiwa