TRA haijawahi kuongozwa na Tax man

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,745
139,524
Tangu imeanzishwa TRA haijawahi kuongozwa na mtoza ushuru.Alianza Sanare akaja muhasibu Kitilya then banker Bade na sasa Kadata.Sasa sielewi pamoja na ITA kuwepo kwa zaidi ya twenty five years wameshindwa kutoa wabobezi wa kushika nafasi nyeti hapo TRA.Ubunifu zaidi unahitajika pamoja na success iliyofikiwa
 
Achaga majungu tra kitillya kabla ya kiongozi wa juu alitoka wapi
 
Tangu imeanzishwa TRA haijawahi kuongozwa na mtoza ushuru.

Taxation mtu wa fani yoyote aweza ANASOMA.Linafundishwa degree zote.Somo la tax lipo.Professional examination bodies zote hilo somo lipo.It is not a big deal like medicine or engineering!! Mtu yeyote aweza kuwa kamishna wa TRA
 
Nani kakudanganya? Kama sio big deal kusengekua na vyuo vya kutoq degree za tax.
 
Taxation mtu wa fani yoyote aweza ANASOMA.Linafundishwa degree zote.Somo la tax lipo.Professional examination bodies zote hilo somo lipo.It is not a big deal like medicine or engineering!! Mtu yeyote aweza kuwa kamishna wa TRA[/QUOTPitPitia pale IFM utaeleweshwa
 
Nani kakudanganya? Kama sio big deal kusengekua na vyuo vya kutoq degree za tax.

Degree za Tax zina nini cha ajabu? Masomo mengi ni yale yale wanayosoma digrii zingine!! Digrii unakuta inaitwa ya Tax LAKINI MLE NDANI MASOMO MENGI unakuta ni yaleyale yaliyoko kwenye digrii zingine.Chukua sylabuss ya digrii zingine hasa za arts linganisha na ya Taxation digrii uone kuna tofauti gani ya maana.Hakuna.Ni vitofauti vidogo vidogo ambavyo sio material.Mtu akienda hata short course ya taxation ya wiki mbili au akajisomea kwenye internet kama havijui aweza vijua vyote
 
Tax ni taaluma ndugu Yehodaya
Tax sio taaluma.Taaluma zote huwa professional bodies za kuwasimamia .
mfano-Bodi ya mainjinia.bodi ya madaktari,manesi.board ya maafisa ugavi,Bodi ya wahasibu hiyo Tax ni fani sio taaluma kama zilivyo fani za utawala,masoko nk ambazo hazina bodi.Kuwa meneja au mtawala huhitaji kusoma digrii ya utawala sababu ni moja ya masomo yaliyoko kwenye digrii uliyosoma
 
Degree za Tax zina nini cha ajabu? Masomo mengi ni yale yale wanayosoma digrii zingine!! Digrii unakuta inaitwa ya Tax LAKINI MLE NDANI MASOMO MENGI unakuta ni yaleyale yaliyoko kwenye digrii zingine.Chukua sylabuss ya digrii zingine hasa za arts linganisha na ya Taxation digrii uone kuna tofauti gani ya maana.Hakuna.Ni vitofauti vidogo vidogo ambavyo sio material.Mtu akienda hata short course ya taxation ya wiki mbili au akajisomea kwenye internet kama havijui aweza vijua vyote
Hivi unaweza kulinganisha kwa mfano VAT au INCOME tax a nayo fundishwa mtu wa accounts na mtu wa ITA acha uvivu wa kufikiri basi blaza
 
Kamaq kuna tofauti kwa nini wafayakazi wengi wa TRA ni wale waliosomea uhasibu wenye CPA na sio hao wa ITA?
 
Yehodava wahasibu wengi pale Tra waliweka cpa kabatini wakaenda ITA kubadili taaluma
 
Taxation mtu wa fani yoyote aweza ANASOMA.Linafundishwa degree zote.Somo la tax lipo.Professional examination bodies zote hilo somo lipo.It is not a big deal like medicine or engineering!! Mtu yeyote aweza kuwa kamishna wa TRA

aiseeeee..hata wewe kwa akili zako hizihizi unaweza?
 
Hivi Masamaki ameishia wapi? Yule ndio alitakiwa kuwa Mkuu w TRA? Nadhani angeuza kila kitu na hata hayo makusanyo angebinafsisha!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom