Z ZANDRANY Member Joined Apr 4, 2012 Posts 18 Reaction score 1 Apr 13, 2012 #1 Wakati ikiwa ni bayana kuwa maafisaa wapatao (30) therathini wa Idara ya Forodha/yaani KAZI TAMU/Customs wamekabidhiwa barua za kusudio la kufutwa kazi, bila shaka inavuta zaidi kutaka kujua kuna nini kinaendeka humo nani ya KAZI TAMU???.
Wakati ikiwa ni bayana kuwa maafisaa wapatao (30) therathini wa Idara ya Forodha/yaani KAZI TAMU/Customs wamekabidhiwa barua za kusudio la kufutwa kazi, bila shaka inavuta zaidi kutaka kujua kuna nini kinaendeka humo nani ya KAZI TAMU???.
BONGOLALA JF-Expert Member Joined Sep 14, 2009 Posts 16,511 Reaction score 11,911 Apr 13, 2012 #2 umekunywa kidogo?hueleweki
Kunta Kinte JF-Expert Member Joined May 18, 2009 Posts 3,690 Reaction score 1,293 Apr 14, 2012 #3 BONGOLALA said: umekunywa kidogo?hueleweki Click to expand... Halafu ameanzisha uzi na kusepa! tusimlaumu labda bado ana mning'inio wa ziada akiwa fresh huenda akarudi
BONGOLALA said: umekunywa kidogo?hueleweki Click to expand... Halafu ameanzisha uzi na kusepa! tusimlaumu labda bado ana mning'inio wa ziada akiwa fresh huenda akarudi
Z ZANDRANY Member Joined Apr 4, 2012 Posts 18 Reaction score 1 Apr 15, 2012 Thread starter #4 Kunta Kinte said: Halafu ameanzisha uzi na kusepa! tusimlaumu labda bado ana mning'inio wa ziada akiwa fresh huenda akarudi Click to expand... Ngoja ninywe nyingi, nikilewa nitakuwa na mengi ya kusema,si unajua wengine tumeumbwa namana fulani,mpaka ukinywa ndiyo unapanda
Kunta Kinte said: Halafu ameanzisha uzi na kusepa! tusimlaumu labda bado ana mning'inio wa ziada akiwa fresh huenda akarudi Click to expand... Ngoja ninywe nyingi, nikilewa nitakuwa na mengi ya kusema,si unajua wengine tumeumbwa namana fulani,mpaka ukinywa ndiyo unapanda
Z ZANDRANY Member Joined Apr 4, 2012 Posts 18 Reaction score 1 Apr 15, 2012 Thread starter #5 BONGOLALA said: umekunywa kidogo?hueleweki Click to expand... Ngoja ninywe nyingi, nikilewa nitakuwa na mengi ya kusema,si unajua wengine tumeumbwa namana fulani,mpaka ukinywa ndiyo unapanda
BONGOLALA said: umekunywa kidogo?hueleweki Click to expand... Ngoja ninywe nyingi, nikilewa nitakuwa na mengi ya kusema,si unajua wengine tumeumbwa namana fulani,mpaka ukinywa ndiyo unapanda
Mnyamahodzo JF-Expert Member Joined May 23, 2008 Posts 1,935 Reaction score 1,006 Apr 15, 2012 #6 ZANDRANY said: Ngoja ninywe nyingi, nikilewa nitakuwa na mengi ya kusema,si unajua wengine tumeumbwa namana fulani,mpaka ukinywa ndiyo unapanda Click to expand... in vino veritas!!
ZANDRANY said: Ngoja ninywe nyingi, nikilewa nitakuwa na mengi ya kusema,si unajua wengine tumeumbwa namana fulani,mpaka ukinywa ndiyo unapanda Click to expand... in vino veritas!!